top of page

Vyeti vya CPD

Ofisi ya Raisi wa TOA inapenda kuwataarifu kuwa vyeti vya CPD kwa waliohudhuria kongamano la mwaka jana sasa vipo tayari. Wasiliana na ofisi ya Katibu utumiwe cheti chako. Maboresho yamefanyika, hivyo vyeti vya CPD mwaka huu vitatolewa papo hapo wakati wa kongamano. Tafadhali mjulishe na mwenzako.


Featured Posts
Recent Posts
Archive
Search By Tags
No tags yet.
Follow Us
  • Facebook Basic Square
  • Twitter Basic Square
  • Google+ Basic Square
bottom of page